12 Sep 2012 07:45

Maandamano ya wanahabari Mbeya 

Baada ya kukosa kibali cha kuandamana jana, leo wanahabari mkoani Mbeya watafanya maandamano ya kupinga mauaji ya mwanahabari mwenzao marehemu Daudi Mwangosi. Hapa ni Katibu wa Mbeya Press Club, akiongelea maandamano hayo, wakati akihojiwa na kituo cha redio cha Bomba FM


media options

comments
There are no comments yet, be the first one to leave a comment!

leave a comment »
Login
Username

Pin


 

or


Comment:



Jukwaa Huru

Mbeya

mwananchi wa kawaida sana

web www.jukwaahuru.com

navigation
Maandamano ya wanahabari Dar Maandamano ya wanahabari Mbeya Hedhi na matatizo yenye kuambatana nayo
tags
No tags yet

info
shared on
views
5
posted using
direct link
embed