show stream as

Yanga wampiga refarii 
Posted 4 Apr 21:37
75 views

Baadhi ya wachezaji wa Yanga walimpiga Refarii katika mchezo wao na Azam FC wa Ligi Kuu ya VodaCom Tanzania Bara uliochewa uwanja wa Taifa Machi 2012
0 comments



Mtoto aliyebakwa - Njia Panda 
Posted 12 Jun 2011 15:45
86 views

Dk. Isaac Maro katika kipindi cha Njia Panda kinachorushwa na Clouds FM radio, alikuwa na binti wa miaka 16 aliyebakwa kwa ukatili. Walikuwepo wataalamu wa Afya, Saikolojia na Sheria waliozungumzia madhara na sheria kuhusiana na hilo. Binti alijieleza na hatimaye alikamilisha kwa kuomba msaada wa kusomeshwa.
0 comments



Plane shot down in Benghazi - March 19 
Posted 20 Mar 2011 08:38
31 views

Libyan rebels shot down a warplane that was bombing their eastern stronghold Benghazi on Saturday, as the opposition accused Moammar Gadhafi's government of defying calls for an immediate cease-fire. (March 19)
0 comments



Libya attacks 
Posted 20 Mar 2011 07:51
188 views

Libya attacks
0 comments



Condom katika baadhi ya jamii za wafugaji 
Posted 15 Mar 2011 18:17
414 views

Matumizi ya condom katika baadhi ya jamii za wafugaji Kenya
3 comments



La nne na la saba wasomea chumba kimoja! 
Posted 6 Mar 2011 21:34
133 views

Ukosefu wa madawati na vyumba vya kusomea pamoja na walimu umesababisha wanafunzi wa darasa la nne na saba kusomea chumba kimoja kwa kupeana mgongo, aka, Two in One class (Tanzania style?)
0 comments



Hotuba ya Rais Kikwete 28 Februari 2011 
Posted 1 Mar 2011 02:00
285 views

Hotuba ya Rais Kikwete ya mwisho wa mwezi kwa Taifa
0 comments



Ujio wa mmiliki wa DOWANS - Tanzania 
Posted 21 Feb 2011 19:21
389 views

Mtangazaji wa BBC Swahili, Charles Hilary akimwuliza Bakari Mwachumu (gazeti la The Citizen) kuhusu ujio wa mmiliki wa DOWANS nchini Tanzania.
0 comments



Zitto Kabwe : Amka na BBC 8.1.11 
Posted 9 Jan 2011 08:48
612 views

Zitto Kabwe (Mb) akizungumzia suala la maandamano ya CHADEMA huko Arusha 5 Januari 2011 katika kipindi cha Amka na BBC "Wiki Hki", Jumamosi 8.1.2011
0 comments



Taarifa 8.1.2011 
Posted 9 Jan 2011 08:46
507 views

Taarif ya habari, TBC
0 comments



prev 1 2 3 4 ... 9 next

Mobys Subi Nukta is mentioned in:

We are currently processing all of our old Mobys, so new mentions will be added gradually to this list. (We'll add paging soon!)

statistics

  • friends:

    1

  • followers:

    1

  • total posts:

    86


calendar

friends