12 Jun 2011 15:45

Mtoto aliyebakwa - Njia Panda 

Dk. Isaac Maro katika kipindi cha Njia Panda kinachorushwa na Clouds FM radio, alikuwa na binti wa miaka 16 aliyebakwa kwa ukatili. Walikuwepo wataalamu wa Afya, Saikolojia na Sheria waliozungumzia madhara na sheria kuhusiana na hilo.

Binti alijieleza na hatimaye alikamilisha kwa kuomba msaada wa kusomeshwa.


media options

comments
There are no comments yet, be the first one to leave a comment!

leave a comment »
Login
Username

Pin


 

or


Comment:



navigation
Plane shot down in Benghazi - March 19 Mtoto aliyebakwa - Njia Panda Yanga wampiga refarii
tags
No tags yet

info
views
1
direct link
embed